Vidakuzi (cookies) ni faili ndogo ambazo tovuti huhifadhi kwenye kivinjari. Hapa kuna vidakuzi na hifadhi nyingine zinazotumiwa na methali.co.ke. Ilisasishwa tarehe 18 Novemba 2026.
Vidakuzi tunavyotumia
| Jina | Mtoaji | Kazi | Muda |
|---|---|---|---|
| __cf_bm | Cloudflare | Muhimu: kutofautisha wageni na roboti hatari | Dakika 30 |
| _ga, _ga_* | Google Analytics | Takwimu: kuhesabu wageni na kurasa zinazosomwa | Hadi miaka 2 |
| wordpress_*, wp-settings-* | WordPress | Muhimu kwa wahariri walioingia pekee | Wakati wa kikao au hadi siku 14 |
Hifadhi kwenye kifaa (si vidakuzi)
| Jina | Kazi |
|---|---|
| methali.saved.v1 | Orodha ya methali ulizohifadhi |
| methali.learning.v1 | Maswali uliyojibu kwa usahihi kwenye Mazoezi |
Taarifa hizi hubaki kwenye kivinjari chako na hazitumwi kwetu.
Kudhibiti vidakuzi
Unaweza kufuta au kuzuia vidakuzi kwenye mipangilio ya kivinjari chako. Ukizuia vidakuzi muhimu, baadhi ya sehemu za tovuti huenda zisifanye kazi vizuri. Kuzuia takwimu za Google, unaweza kutumia kiendelezi cha Google cha kujiondoa (Google Analytics Opt-out).
Mabadiliko
Tutasasisha orodha hii tukiongeza au kuondoa huduma. Maelezo zaidi yako kwenye Sera ya faragha.