KiswahiliHaurambwa mkono mtupu.Mkono mtupu hauna kitu cha kumpa anayetarajia kupata faida.Soma methali ↗Hifadhi
KiswahiliK'itu ni futa la moyo: humpa umpendae.Zawadi inaweza kuwa ishara inayoonekana ya upendo ulio moyoni.Soma methali ↗Hifadhi