KiswahiliKazi isiyo kipimo mwishowe wat'u huteta.Kazi ambayo kiasi au upeo wake haujaelezwa mapema inaweza kuishia katika mabishano.Soma methali ↗Hifadhi